Mkuu,Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Sikukuu ya Christmas ni sikukuu ya kukumbukwa kwa aliyekuwa mkombozi wa wanadamu yaani Yesu Kristo.
Sikukuu hii imekuwa ikiadhimishwa Kila mwaka tare 25 December Duniani.
Sikukuu ya Christmas imekuwa na maana kubwa kwa wale wanaomuamini Yesu kuwa ni mwokozi wa maisha yao.
Sikukuu hii imekuwa ikisherehekewa na familia mbalimbali Duniani kwa kukutana kwa pamoja na kula na kunywa.
Sikukuu hii huleta umoja na Upendo kwa watu hasa waliozaliwa pamoja, maana wanashirikiana na kupeana zawadi.
Ila sikukuu hii imekuwa tofauti kwani kumekuwa na Sanamu moja linalojilikana kwa 'Father Christmas', hili Sanamu limekuwa likiwekwa kwenye sehemu mbalimbali za Mall na hata Hotel.
Sanamu hii watu wengi hawajui maana yake ila huwa wanafurahia na wengine wanakuwa kama wanaitukuza.
Wakati watu wanafurahia sikukuu hii ya kuzaliwa YESU, basi na upande wa wapinga Kristo nao wanaabudu hilo Sanamu lao la Father Christmas.
Wakristo stukeni na salamu hilo, maana limekuwa likipendwa sana na watoto.
Hata wazazi wamekuwa wakiwapeleka kwenye hilo Sanamu kupiga picha.
Waambieni watoto wenu juu ya hilo Sanamu kuwa sio maana ya Christmas bali linajitukuza kubeba siku hiyo.
Watoto wadogo wanajua kuwa sikukuu ya Christmas ni huyo Father Christmas ndio sikukuu yake maana anawekwa Kila Kona.
Tunakumbushana kuwa YESU ndio alizaliwa katika siku hii na si mengine.
Bwana YESU atukuzwe
Donatila
baki kwenye mada ya sanamu mkuu..Nakubaliana nawe sanamu la Fadher Christmas ni IBADA ya sanamu.
Nikuulize, wapi tuliagizwa kusherehekea Christmas tarehe 25 Dec?
Unalo andiko?
Asante mkuu kwa Jibu zuri...baki kwenye mada ya sanamu mkuu..
mambo ya tarehe ya noeli achana nayo wewe ni shahidi wa yehova? baki na unachokiamini sio lazima utulazimishe tofauti na unavyotaka kuhusu siku ya kuzaliwa kwa Kristu bwana wetu.
Haleluya azaliwa,,,, Amezaliwa haleluya..
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Sikukuu ya Christmas ni sikukuu ya kukumbukwa kwa aliyekuwa mkombozi wa wanadamu yaani Yesu Kristo.
Sikukuu hii imekuwa ikiadhimishwa Kila mwaka tare 25 December Duniani.
Sikukuu ya Christmas imekuwa na maana kubwa kwa wale wanaomuamini Yesu kuwa ni mwokozi wa maisha yao.
Sikukuu hii imekuwa ikisherehekewa na familia mbalimbali Duniani kwa kukutana kwa pamoja na kula na kunywa.
Sikukuu hii huleta umoja na Upendo kwa watu hasa waliozaliwa pamoja, maana wanashirikiana na kupeana zawadi.
Ila sikukuu hii imekuwa tofauti kwani kumekuwa na Sanamu moja linalojilikana kwa 'Father Christmas', hili Sanamu limekuwa likiwekwa kwenye sehemu mbalimbali za Mall na hata Hotel.
Sanamu hii watu wengi hawajui maana yake ila huwa wanafurahia na wengine wanakuwa kama wanaitukuza.
Wakati watu wanafurahia sikukuu hii ya kuzaliwa YESU, basi na upande wa wapinga Kristo nao wanaabudu hilo Sanamu lao la Father Christmas.
Wakristo stukeni na salamu hilo, maana limekuwa likipendwa sana na watoto.
Hata wazazi wamekuwa wakiwapeleka kwenye hilo Sanamu kupiga picha.
Waambieni watoto wenu juu ya hilo Sanamu kuwa sio maana ya Christmas bali linajitukuza kubeba siku hiyo.
Watoto wadogo wanajua kuwa sikukuu ya Christmas ni huyo Father Christmas ndio sikukuu yake maana anawekwa Kila Kona.
Tunakumbushana kuwa YESU ndio alizaliwa katika siku hii na si mengine.
Bwana YESU atukuzwe
Donatila
Hujaeleza sasa, sanamu linampinga kristo kivipi?Habari wakuu,

Mkuu,Hujaeleza sasa, sanamu linampinga kristo kivipi?
Anapinga Father Christmas anakubali tar25 iwe Christmas wakati hivyo vyote havipo kwenye Biblia. Ana matatizo huyu.Mkuu,
Unategemea jibu hapo sahau, hata hiyo stori ya Father Christmas 🎅 hajui ilipoanzia.
Alishahitimisha huyo mpinga Kristo, ila kaulizwa aonyeshe wapi kaandikiwa asheherekee tarehe hiyo kimya.
😂😂tuuzwe tu kwenye mashamba ya sukari marekani.
Huyu akipewa mwaliko wa kwenda kula Wali Kuku anaenda mapema sanaAnapinga Father Christmas anakubali tar25 iwe Christmas wakati hivyo vyote havipo kwenye Biblia. Ana matatizo huyu.
Bwana Yesu atukuzwe pia kupitia sherehe za Krismass, na atukuzwe pia kupitia maigizo ya ukarimu wa mtakatifu Claus aka Fr Christmqss. Usimwekee mipaka!Bwana YESU atukuzwe
Kuna mifumo mingi mi na wewe tunaimaini mpaka leo Mkuu.Wameaminishwa hvyo hao wakristo n ngumu kubadilisha mfumo wao wa Kila cku mkuu
Sanamu la TamuziHabari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Sikukuu ya Christmas ni sikukuu ya kukumbukwa kwa aliyekuwa mkombozi wa wanadamu yaani Yesu Kristo.
Sikukuu hii imekuwa ikiadhimishwa Kila mwaka tare 25 December Duniani.
Sikukuu ya Christmas imekuwa na maana kubwa kwa wale wanaomuamini Yesu kuwa ni mwokozi wa maisha yao.
Sikukuu hii imekuwa ikisherehekewa na familia mbalimbali Duniani kwa kukutana kwa pamoja na kula na kunywa.
Sikukuu hii huleta umoja na Upendo kwa watu hasa waliozaliwa pamoja, maana wanashirikiana na kupeana zawadi.
Ila sikukuu hii imekuwa tofauti kwani kumekuwa na Sanamu moja linalojilikana kwa 'Father Christmas', hili Sanamu limekuwa likiwekwa kwenye sehemu mbalimbali za Mall na hata Hotel.
Sanamu hii watu wengi hawajui maana yake ila huwa wanafurahia na wengine wanakuwa kama wanaitukuza.
Wakati watu wanafurahia sikukuu hii ya kuzaliwa YESU, basi na upande wa wapinga Kristo nao wanaabudu hilo Sanamu lao la Father Christmas.
Wakristo stukeni na salamu hilo, maana limekuwa likipendwa sana na watoto.
Hata wazazi wamekuwa wakiwapeleka kwenye hilo Sanamu kupiga picha.
Waambieni watoto wenu juu ya hilo Sanamu kuwa sio maana ya Christmas bali linajitukuza kubeba siku hiyo.
Watoto wadogo wanajua kuwa sikukuu ya Christmas ni huyo Father Christmas ndio sikukuu yake maana anawekwa Kila Kona.
Tunakumbushana kuwa YESU ndio alizaliwa katika siku hii na si mengine.
Bwana YESU atukuzwe
Donatila
Hakikujibu mkuu nishtue 😅😅🤣🤣🤣🤣🤣Hujaeleza sasa, sanamu linampinga kristo kivipi?