Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,587
- 7,966
Mtu yeyote anayetaka kujifunza historia ya Afrika, ni vyema akaanza kujifunza kwanza historia ya Kemet kwani hapo ndipo inapopatikana elimu, urithi, historia, ufahari wa bara letu la Afrika.
Pia tufahamu kwamba Kemet ndio eneo la kwanza ulimwenguni kuanza kustaarabika.
Unaweza ukawa unajiuliza, Kemet ni wapi? Jibu ni kwamba, KEMET ni Misri ya Kale.
Leo hii, asilimia kubwa ya raia wa misri ni waarabu, lakini huko nyuma, Misri ilikuwa ni Ardhi ya mtu mweusi. Hao waarabu walivamia misri miaka ya 639 AD ikiwa ni katika jitihada za kueneza imani ya Kiislamu.
Mojawapo ya Tamaduni za Wamisri wa kale, ilikuwa ni kujenga mapiramidi. Ingawa yapo mapiramidi mengi sana huko Misri, lakini yaliyo maarufu ni yale mapiramidi matatu yaliyoko katika mji wa Giza.
Sambamba na hayo mapiramidi Matatu, kuna kitu kinaitwa 'Sphinx'. Ni jengo lililojengwa kwa mfano wa Simba mwenye kichwa cha Binadamu. (Pichani)
Na Inaelezwa kwamba hiko kichwa ni cha Farao Khafre aliyetawala hapo kwenye miaka ya 2558 hadi 2532 BC.
Sphinx ina urefu wa takribani Mita 73 kuanzia kwenye mkia hadi kwenye viganja vya mikono. Pia urefu wa kwenda juu (kimo) ni takribani Mita 20 kuanzia kwenye Ardhi hadi kwenye utosi. Pia na upana wa Mita 19.
UNAWEZA KUONGEZEA KUHUSU SANAMU LA KEMET
.View attachment 978364
Yesu pia alikua mweusi lakini wazungu wakabadili mzamo kwa kutoa taarifa za kupotoshahzi habari zenu zakila race walikuwa weus history imebadilishwa tushachoka
ipo siku mtasema issa (YESU) NA NABII MUHAMMAD pia walikuwa ni weusi
Hahaha [emoji23][emoji23] wanatuogopa ss watu weusi balaa. BTW, black ndio race ya kwanza kuwa civilized.Hivi sanamu zote zinavunjika pua tu au ni makusudi? Hahaha
Sent from my SM using Tapatalk
Kwahiyo yalivyovunjwa hizo pua yakabadilika rangi?Haya masanamu mengi yamevunjwa pua,
Inasemekana walikuwa ni blacks ila mahasidi wakaamua kuvunja pua zote.
Rejea sanamu zote
Ukubwa wa pua ndio tofauti [emoji848]Kwahiyo yalivyovunjwa hizo pua yakabadilika rangi?
Ha ha ha haa
Wapo ambao huwa kazi yao ni kukashifu na kutukana dini, ni tabia ambayo nafikiri ni malezi ya nyumbani wanafundishwa chuki kila kukichaJF huwa kuna mada nzuri sana ila zikishaingiliwa na wafia dini ndio basi tena!!
Vipi nilete haya,Babu uislamu dini ya wajinga ndo maana wanauawa kila siku ngoja nilete Aya hapa
Nimefika..nilikuwa likizo
Shetani maana yake nini?fafanuaNi mashetani
Ndio waliomuua abraham linkon
Jesuits Ni chama cha mashetan
Neno ulilotumia "ustaarabu" maana yake nini?
Mkuu, unaweza kupoteza muda kumbe unamwelimisha Mwarabu Mweusi wa Tanzania.
Kama hujui history bora ukae kimya.hzi habari zenu zakila race walikuwa weus history imebadilishwa tushachoka
ipo siku mtasema issa (YESU) NA NABII MUHAMMAD pia walikuwa ni weusi
Uharo.Hata carly peters alikuwa mweusi wazungu wakamfanya awe mweupe.
Mkuu kwa nini mapiramid yapo Afrika hasa misri Sudan na Uganda na si mashariki ya kati na ulaya kama kweli hayakujengwa na watu weusi waafrika.?Kitu kimoja tunachotakiwa tukikubali waafrika hasa wa sub- Sahara African tulichelewa kupata civililazation ..haya mambo mengine tunaonekana kama tunaiba historia za watu ..inakuwa kama afrocentric Fantasy ..mara utasikia Yesu alikuwa mweusi,mara black walijenga pyramid ,mara jews walikuwa weusi..tatizo ni moja hatuna strong evidence za kusapport claims zetu.
Pumba.Kuusu hii story ya Incient Egypt kuna michoro ndani ya pyramind inaonesha blaçks tulikuwa treated kama slaves ..hamna kipind katika historia mambapo blacks tulikuwa treated well na hawa white people including Warabu