Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,929
- 828,571
Kuna hii mada yangu niliandikq mwaka 2016 miaka minne hivi baada ya kujiunga JF.. Lakini kiuhalisia ni mada niliyoiandika kwenye daftari mwaka 1998 ikiwa ni maandalizi ya kuandika kitabu
(6,646) Sanaa ya kifo | JamiiForums Sanaa ya kifo
Kifo pia ni sanaa na kuna sanaa ya kifo halafu kufa pia ni sanaa na kuna sanaa ya kufa.. Kwahiyo mada ya Leo si juu ya sanaa ya kifo bali sanaa ya kufa
Kufa pamoja na kwamba ni tendo la roho kuachana na mwili (mwisho wa hatima) lakini kufa kwenyewe ni roho
Hivyo basi kama kiufa ni roho basi tambua ya kwamba kufa kuna uhai
Kufa kunaona
Kufa kunasikia
Kufa kunaongea
Kufa kuna harufu
Kufa kunatembea
Kufa kuna hisia na kufa kuna maumivu.. Na kufa hupenda kufanya sanaa ya majaribio..!
Hakuna kifo cha kufa ghafla
Hakuna kifo cha kufa bahati mbaya
Hakuna kifo cha kufa mauaji ya kupanga
Kila tendo la kifo lina maandalizi kamili hata kama hayajulikani katika ulimwengu wa macho ya nyama
Walionusurika kufa wanaweza kunielewa zaidi.. Ndio maana tunasema kufa kifoni sio mchakato bali ni mwanzo
Wafao ama manusura wa kufa hupewa taarifa za siri kwa njia ya
Ndoto
Alama
Ujumbe kificho nk
Wenye kuhisi kitu hujiandaa wenye kupuuza hujikuta mbele ya ziraili bila kutarajia
Unataka kufanya jambo unaghairi.. Anafanya mwingine anaondoka
Unakaa kwenye siti ya gari mara unaghairi na kuhama.. Inatokea ajali unasalimika aliyekaa kwenye ile siti anaondoka
Ila tofautisha na wale wanaosema wanajisikia kufakufa kimuhemuhe cha changamoto kinapowazidi.. Wale huwa hawafi
Kufa huja na dalili nyingi
Kufa huja na taarifa nyingi.. Mapicha haya ni sanaa ya kufa na yoyote anayevutiwa nayo kama si mfaji basi ni wakala ama ni ziraili wa kifo
NB: usimuweke mwandishi kwenye hayo makundi