Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,401
SANAA BILA VIKWAZO NA UVUMILIVU NI SAWA NA BURE.
Wapo ambao anaingia leo kwenye gemu na anawika ndani ya muda mfupi kutokana na sapoti au kampani nzuri anayoipata. Uvumilivu ni njia ya kujifunza na kujua mapungufu ya media na sanaa kwa ujumla ili utakapo pata sapoti au kampani nzuri iwe rahisi kutoka kisanaa maana unakuwa tayari umeshajifunza udhaifu wa Wasanii na Mapromota pamoja na wasamabazaji wa kazi za wasanii. Mfano wangu mimi Deogratius Nalimi Kisandu, maarufu kwa jina la kisanii "Masqo" ni huu katika Uvumilivu:
1.LADY JAYDEE...Mwaka 2004 nilikutana na mwanamziki mkongwe wa Bongofleva Madam Judith Wambura a.k.a LadyJayedee nilikutana naye Kariakoo OFISI ZA MAMU STORE na nikamuomba kufanyanae kolabo lakini alikataa, niliumia sana maana ndio nilikuwa naaandaa wimbo wa "Usiunyanyapae Moyo Wangu", hapa unajifunza kuwa unapokuwa chini walio juu kukupa ushirikiano ni kazi kubwa sana inabidi ujitume sana ili ukifika hatua fulani watakuwa tayari kutoa sapoti.
2.H.BABA ......Mwanamziki Huyu Hamis Baba nilikutana naye kati ya mwaka 2004 au 2005 ofisi za Channel 5(EATV) nilikwenda kwa ajili ya Interview ya kutambulisha Nyimbo zangu kwenye magazeti ya Ipp Media tulikuwa level moja tu wakati huo. Nilipomuona nilitaka kumuomba kufanya nae kolabo lakini nikakumbuka ya LadyJaydee nikaamua kupoteza tukaishia kusalimiana na kubaki kwenye foleni ya kusubiri kuingia kwa wanahabari. Tunajifunza kuwa woga unaweza kusababisha kukosa watu wakufanya nao kazi bali tujiamini na kuvunja nidhamu ya woga.
3.NEY WAMITEGO.......Msanii huyu tulikutanishwa na NikoTrack pale Times Fm kati ya mwaka 2004 au 2005, tukajuana na Times fm waliandaa warsha yao Kawe kwa Nyerere ambako Wasanii wengi tulijumuika na wengi walionesha uwezo wao, wengine walikuwa wakisheki wimbo wa Usher Raymond wa "YEAH" ambao ndio ulikuwa unawika, mimi nilikuwa nasoma mchezo ukoje kwa wasanii. Nikajifunza kuwa ipo siku nitachangamka.
4.Dj. MAJIZO wa Magic Fm ambaye sasa ndio mmiliki wa E-Fm yeye alinipa Sapoti kubwa sana wimbo wangu wa "Nimepata Demu" Magic Fm, nilipokutana naye tuliongea pale ofisi za magicFm (DTV) na nikamwambia sina pesa kabisa lakini akaahidi kunipa sapoti ya Promo. Nikajifunza kuwa kuna Madj wapo tayari kuwasaidia Wasanii ambao wanaonesha nia ya dhati lakini tatizo la uchumi linakuwa kikwazo kwao. Japo Dj Majay aliniita mimi ni "Maneno mengi" akanifundisha kuwa natakiwa "Ku keep time katika kuongea"
5.Dj.KESSY... wa East Africa Radio mwaka 2003 alinipa sapoti kubwa sana ya wimbo wangu "Nimepata Demu" japo kuwa sikuwa na pesa, lakini nilijifunza kuwa ipo siku nitatoka vizuri.
NB. AZUMA(Azithromycn) ni dawa inayotibu VVU na UKIMWI yaani inaponya kabisa, inapatikana duka lolote la madawa ya binadamu.
Deogratius Nalimi Kisandu a.k.a MASQO
19 Desemba 2017.