makongorosi
Member
- Apr 24, 2009
- 49
- 4
'd lov to differ nawewe. Alikuwa chairman wa Tanzania Investment Centre he knew mikataba ya migodi na vitalu ilikuwa mibovu yet hakufanya kitu. Uzalendo wake hapo uko wapi?
SIX for Tanzania tunakupenda na tunakuamini mzee SIX, usiwaogope majizi sisi tuko na wewe. wewe ni shujaa wa Tanzania sio muoga kama mkwere.
'd lov to differ nawewe. Alikuwa chairman wa Tanzania Investment Centre he knew mikataba ya migodi na vitalu ilikuwa mibovu yet hakufanya kitu. Uzalendo wake hapo uko wapi?
six ana ndoto za urais 2015,hana lolote!
SIX for Tanzania tunakupenda na tunakuamini mzee SIX, usiwaogope majizi sisi tuko na wewe. wewe ni shujaa wa Tanzania sio muoga kama mkwere.
six ana ndoto za urais 2015,hana lolote!
Mtu yeyote ambaye CCM hakuna msafi hata kidogo, Ukitaka kufahamu ufisadi wake tu Querry kwenye Database yetu wananchi (Dr. Slaa)
Kwa hiyo hawana jipya.
Peoples power
Ukiwaa na uwezo mdogo wa kufikiria ni tabu sana.Wana Jamvi, kwa mtazamo wangu sita ni mzalendo wa kweli mwenye uchungu na nchi yake
kwasababu kuu zifuatazo:
-Uwezo wake kama spika kuruhusu mijadala ambayo imeweza kutishia uhai wa ccm.
-Kuto wogopa mafisadi wenye fedha ambao wanaogopewa.
-Kukataa kuwaangukia mafisdi.
Nani asiyekumbuka jinsi ndugu Sitta alivyoweza kuruhusu mjadala wa richmond bungeni, ambao umeleta kitimutimu kufikia hatua ya EL kujiuzuru? kutoka na mkasa huu ndipo tulipojua udhaifu wa ccm, wengine tulikuwa hatujuhi.
Sitta aliweza kushikilia msimamo wake wa kuwashambulia mafisadi bil kuigopa, inahitaji ujasiri kwa kweli kwani kama waziri mkuu mizengo pinda mwenye ulinzi madhubuti aliwagwaya mafisadi kwa kusema ni watu hatari, lakini Sitta aliendeleza mapambano nao.
Kitendo cha Sitta kukataa kuwaomba radhi mafisadi mbele ya kamati ya usuluishi wa ccm ni kitendo cha ujasiri.
Kweli sitta ni mzalendo mwenye uchungu na nchi yake na ni zaidi ya raisi, kitendo cha kikwete mtu ambaye yupoyupo asiyejali chochote kumpa uwaziri sitta ni ukweli tosha kuwa sitta ni zaidi y raisi.
Anyway mzee Six ni jasiri upande mmoja maana alikuwa wa kwanza kuitisha maandamano ya kumuunga mkono rais Mwinyi kwa uamuzi wa kufunga UDSM mwaka mzima ( alifurahia kuona chuo hakitoi matunda kwa mwaka mzima ... ) sijui kama alijua impact kwa hao walala hoi ambao leo anasema anawatetea na kuonekana mpiganaji. kwangu mimi naona ni mbinafsi zaidi ya mpiganaji ....Sitta hana lolote isipokuwa sasa hivi kwa sababu hakuna anachotegemea kupata wala kupoteza ndiyo maana ana ujasiri huo. Hata hivyo anajitahidi kujitutumua baada ya kuzidiwa kete na mafisadi