MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Haya nimemsamehe RIP mzee sittawewe ni mkwepakodi hivyo hufai kabisa kwakuwa unahujumu taifa kwa tabia hiyo. usimlaumu mzee hasa katika kipindi ambacho anapigania uhai wake. taifa sio lako pekeyako au na kikundi chako. katiba ile ni mbaya kwako lakini nzuri kwa wengine na huenda ni wengi zaidi. masuala ya katiba ni demokrasia na maridhiano pia. hakuna alichoandika pekeake mule watu wengi walishiriki na wengine wakaona kazi ngumu wakatoka nje kunywa kahawa, wakawekewa kilevi wakalewa muda wote mpaka katiba ikapatikana na tunasubiri kura ya maoni.... sisi tunamuombea sitta kamamtanzania mwenzetu na kiongozi mahiri aliyetoa mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa hili
Mkuu toa msamaha sasa. RIP Sitta.Kosa lile la kuchafua katiba yetu sijui kama nitakuja kumsamehe, labda akiwa kaburini ndiyo naweza kumsamehe
RIP sitta, haya nipe likeMkuu toa msamaha sasa. RIP Sitta.
Lazima una undugu na sheikh yahyaKibiraaa hiyoooooooo, shekh kabakiza Bisimilahi tu?
Mim nimejifunza kuwa matendo yako ndyo yanakufanya upendwe au uchukiwe...Kuna kitu ninajifunza; unapokua kiongonzi kuna watu wanakupenda na kuna watu wanakuchukia hasaa. Ila "mlipaji ni mola". RIP S. S.
Hahahaa...Naona kiki imeangukia leo tar.7 Novemba,2016!Asante Diana kwa tariifa!! Hilo gazeti linataka kiki!!
Bora angekaa kimya.Diana alikanusha kwa kutokujua baba ake anaumwa,,au lilikuwa ni agizo
Mbona gazeti limeandika hicho hicho?Wakuu habari hii imeandikwa na gazeti la Tanzania Daimaa, Aliyekuwa spika wa bunge la 9 Ndugu Samweli sitta ni mgonjwaa mpaka kutoweza kutembeaa. Mke wake adai anaendelea vizuri.
.
Bado naendelea kulisoma nilete habari kamili
My take..
Sijui kama serikali inalijua hilii
Na nina hakika kuanzia kesho au leo tutaanza kuona misafara ya viongozi kumtembeleaa kwa unafiki uliotukukaa
=======
na ukumbuke kuwa, uwe dhaifu au bora namna gani,huwez pendwa au kuchukiwa na wote dunianiMim nimejifunza kuwa matendo yako ndyo yanakufanya upendwe au uchukiwe...