Akuna mtu ataangalia hicho kipindi
Naona kaamua kutuletea msamiati mpya.Hivi huyu binadamu anamaanisha nini kusema anawiwa? Labda kwenye kikao ataeleza sababu za kuwapigisha kura wafu. Huyu mzee naona kama mshipa wa aibu umekatika. Too sad.
Haya bwana ngoja tusubiri maana wazee walisema SUBIRA HUVUTA HERI.Pole mkuu,kweli kwa aliyoyafanya, inataka moyo kumsikiliza.
Tutafika tu.