Samwel Sitta kulipuka Jumatatu!

Tetesi:mndengereko kutoa ya moyoni kesho waandishi wa habari mnaombwa kufika ukumbi wa habari maelezo.
 
Azungumzie pia ya CDA na kuishi kwenye nyumba ya speaker Dar, ili hali hayupo tena huko
 
asisahau kutaja fedha za gaddafi alizochukua mgombea wao, wizi wa fedha wakati wa ujio wa obama na namna wanavyoitumia habari maelezo kuchafua wengine. inasemekana mgombea wao ni raia wa msumbiji kwa kuzaliwa
 
huyo sawa
 
Amekuwa bomu??

Chama kinaenda kienyeji, kila mtu anaropoka akijisikia.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Kumbe hata jiwe litakemea kama wanadamu wa TZ watakaa kimya juu ya EL na kundi lake
 

hahahaha naona kijana wa membe ben saanane anahaha sana lowasa ndio habari ya mjini na ndiye rais ajaye 2015 kuptia ccm..mgombea bnafs au chama chochote....naona kund la wahafidhina wa chadema wanataka kubadili ajenda ya kung'ang'ania madarakan na uenyekti wao wa maisha....vijana wa membe na sta wakiingozwa na ben saanane msalti wa chadema na makonda muasisi wa CCJ nguvu ya lowasa imewachanganya kojoen mkalale
 
Tusipoteze muda na suala hili, tusubiri VITU 2015, hapa ndo wewe young Tanzanian utasema unachojua wakati ukweli ukiwa wazi
 

Hao kwenye nyeusi unategemea watasema nini?

Joseph Musukuma kafanaya nini tena? Najua huyu anaimiliki Geita pamoja na vitongoji vyake kama vile Nzera, Nyamboge, nk. Ana nguvu sana huko.
 
Hao kwenye nyeusi unategemea watasema nini?

Joseph Musukuma kafanaya nini tena? Najua huyu anaimiliki Geita pamoja na vitongoji vyake kama vile Nzera, Nyamboge, nk. Ana nguvu sana huko.

Ni kambi ya wahafidhina..last time aliwashughulikia akina Mgeja na Msindai.Ataibuka tena
 

Ningeshangaa usingekuja huku.Unahamasika na mishikaki ya Monduli. Hii ni vita yenu Mafisadi VS CCJ
 
!
!
time will tell.....pale waheshimiwa watakapogeuka na kuwa wadharauliwa. mdharauliwa fulani, mdharauliwa fulani
 
SLAA alisema alikuwa anafanya makubaliano na SITTA ndani ya Ofisi ya Uspika ili agombee Urais,pia ni yeye Mwasisi CCJ.Huyu mzee si mkweli,anahasira ya kukosa nafasi ya juu ktk serikali ya awamu ya 4.
 
Mkuu Boban Risin to the Top sio ya KRS-One (Knowledge Reign Supremw-One) ni ya Lost Boyz!

Mkuu hiyo ya Lost Boyz naipata sana, ila ipo pia ya KRS-One,''i kipin' rising to the top'', amechana Marley Marl KRS-One & Marley Marl - Rising To The Top (Hip Hop Lives) - YouTube

Chukua Chorus
[Chorus]
And I'll keep rising to the top while my mind go
...give it all you got, give it all you got
I'll keep rising to the top while my mind go
...give it all you got, give it all you got
We'll keep rising to the top while my mind go
...give it all you got, give it all you got
We'll keep rising to the top while my mind go
...give it all you got, give it all you got, give it all you got
 

Hahhaaaaaa.....nimekusoma saaana,tena sana mkuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…