Samwel Sitta, chui ktk kundi la kondoo.

SS hashobokei uwaziri kama ambavyo ungefikiria. Ashakuwa na hivyo vyeo toka miaka ya sabini. Ni miongoni mwa watu wachache wanaoipenda Tz na vyote vya asili na pia ni miongoni mwa wanachama wachache sana wanaotaka kuinusuru sisiemu.
 


We KAUMZA ni fisadi, wewe ni funza wa ufisadi, ukifika hatua ya kua nzi ukaruka na kutua juu ya ugali...utachafua sana hali ya hewa....unatetea ujinga...nawe mjinga....
 
Huo utakuwa ni uwajibikaji wa pamoja ktk kundi la vipofu, hata kuhujumu rasiliamali za Taifa? Kumb akina SS wako wengi ndani ya Sisiemu ila hawaongei!
 
Sita alitolewa usipika kwa maelezo kuwa , mwaka huu ni wa wanawake!!
Kapewa uwaziri ili asiseme machafu ya serikali!!!!
Kapewa wizara ya afrika mashariki ili asipate mda wa kuhudhuria bunge!!!
Sasa umefika wakati mwakyembe na mh sitta wamevunja viapo wa uwaziri na kikwete anatakiwa kuwafukuza kama alivyofanya mwinyi kwa mrema!!!
Je, kikwete ana uwezo wa kumufukuza ???
Kikwete angemurejesha sitta kuwa spika ingekuwa salama kwake !!!!
Kikwete hawezi kuchukua miezi sita sasa ni lazima apangue baraza la mawaziri!!
 



Bi Clare alijiuzuru kwa kuwa alikuwa hakubaliani na serikali yake juu ya Radar. Ktk nchi zinazofuata mfumo wa kiutawala wa kibunge(parliamentary system), lazima ukubaliane na maamuzi ya serikali yako(Collective responsibility/uwajibikaji wa pamoja) na kama huwezi, unatakiwa ujiuzuru. Sitta ana nafasi ya kujiuzuru uwaziri ili aweze kuikosoa vizuri serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…