Mkuu cha ajabu/tishio ni wingi wa helkopta ama nini mjumbe?
Mkuu PJ, kama hatuna uwezo wa kuzimiliki ina maana tukatae hata kushirikiana na wageni wanapoleta za kwao ili tuzitumie?
Nijakupata vyema bandugu :thinking:
Mkuu,Mkuu PJ, kama hatuna uwezo wa kuzimiliki ina maana tukatae hata kushirikiana na wageni wanapoleta za kwao ili tuzitumie?
Nijakupata vyema bandugu :thinking: