Well said sitta
Well said sitta
Rais aseme hatuna ugomvi na Rwanda halafu Cabinet minister tena wa wizara ya EAC anakubali kuna ugomvi kati ya wanasiasa hawa wawili yaani Kikwete na Kagame !
Burundi hawana tatizo kwani kikao walikaa Marais watatu ni kweli mombasa ni mbali sana lakini Mombasa hawana usumbufu bandarini kama Dsm na pengine gharama za usumbufu ni kubwa kuliko umbali toka mombasa hadi Uganda na Rwanda ikumbukwe pia wakati mwingine mizigo ya Rwanda hupita Sirari Tarime hadi kagera na kuingia Rwanda je?wakiamua kuhama Dsm kwenda mombasa hawatapitia Tanzania?Well done mr s.sitta tunapenda sana siasa zako za kujenga na sio blah blah zinazojenga chuki,In reality we need rwanda,burundi and uganda for the growth of our economy
Rais aseme hatuna ugomvi na Rwanda halafu Cabinet minister tena wa wizara ya EAC anakubali kuna ugomvi kati ya wanasiasa hawa wawili yaani Kikwete na Kagame !
Rais aseme hatuna ugomvi na Rwanda halafu Cabinet minister tena wa wizara ya EAC anakubali kuna ugomvi kati ya wanasiasa hawa wawili yaani Kikwete na Kagame !
hapa sitta kaongea in context, kwamba hata kama kunakuwepo na tofauti kati ya watu wawili, basi hiyo effect kama una akili haita wasumbua watu wengine, mfano mkeo agombane na jirani, au wanawake wapishane, na labda mkeo ni mkorofi au huyo wa jirani ndio mkorofi, sasa wewe na akili zako utagombana na Mumewe? au na huyo Mwanamke kama Mkeo ndio aliye kosea au nduguyo ndiye aliye kosea.Rais aseme hatuna ugomvi na Rwanda halafu Cabinet minister tena wa wizara ya EAC anakubali kuna ugomvi kati ya wanasiasa hawa wawili yaani Kikwete na Kagame !
Ben unashangaa nini tena na wewe? Hawa watu sasa hivi ni shagalabagala, hakuna uongozi wa pamoja ndani ya serikali. Kila mtu anatoa tamko lake kama alivyofikiri usiku akiwa na wife kisha linakuwa la serikali.
Mwisho wa siku jambo moja Rais kalisemea vile,waziri vile,Nape kivyake na hata watendaji wengine vyao. Utadhani tafrija yenye pombe nyingi kuliko waalikwa.
Na wewe unakuwa kama mtoto ambaye hajasoma wapi sitta kamtaja jk na kagame? Yeye kasema wanasiasa wawili wewe unajuaje kuwa ni jk na kagame kama siyo umbea,kwa nini isiwe slaa na jk au kagame na slaa au kenyatha na jk au vinginevyo acha kuwekea maneno watu mdomoni.Rais aseme hatuna ugomvi na Rwanda halafu Cabinet minister tena wa wizara ya EAC anakubali kuna ugomvi kati ya wanasiasa hawa wawili yaani Kikwete na Kagame !
Ben unashangaa nini tena na wewe? Hawa watu sasa hivi ni shagalabagala, hakuna uongozi wa pamoja ndani ya serikali. Kila mtu anatoa tamko lake kama alivyofikiri usiku akiwa na wife kisha linakuwa la serikali.
Mwisho wa siku jambo moja Rais kalisemea vile,waziri vile,Nape kivyake na hata watendaji wengine vyao. Utadhani tafrija yenye pombe nyingi kuliko waalikwa.
Na wewe unakuwa kama mtoto ambaye hajasoma wapi sitta kamtaja jk na kagame? Yeye kasema wanasiasa wawili wewe unajuaje kuwa ni jk na kagame kama siyo umbea,kwa nini isiwe slaa na jk au kagame na slaa au kenyatha na jk au vinginevyo acha kuwekea maneno watu mdomoni.
ndugu how old are you?Na wewe unakuwa kama mtoto ambaye hajasoma wapi sitta kamtaja jk na kagame? Yeye kasema wanasiasa wawili wewe unajuaje kuwa ni jk na kagame kama siyo umbea,kwa nini isiwe slaa na jk au kagame na slaa au kenyatha na jk au vinginevyo acha kuwekea maneno watu mdomoni.