Samsung wamezindua note 9 jana

Samsung wamezindua note 9 jana

'processor', au cpu, central processing unit, inatekeleza amri zote kwenye simu,kompyuta , kama kutuma sms,kuwasha/kuzima bluetooth,data ipi iifadhiwe wapi,kuwasha simu, kuzima simu, na nyingine nyingi mno
nnashukuru mkuu kwa Elimu unayo nipatia..
Sasa Mkuu hii Snapdragom 845 wanao itumia Samsung kwenye Simu zao S9/S9+ na Note 9 ambayo wewe umesema sio Processor bali ni Chipest yenyewe ina kazi gani?
 
nnashukuru mkuu kwa Elimu unayo nipatia..
Sasa Mkuu hii Snapdragom 845 wanao itumia Samsung kwenye Simu zao S9/S9+ na Note 9 ambayo wewe umesema sio Processor bali ni Chipest yenyewe ina kazi gani?
em rejea post yangu ya kwanza apo juu, nimeelezea
 
battery life nasubiri reviews za wadau na sio kunambia sijui mah ngapi huko simu inayonipasua kichwa kwenye chaji hata iwe imewekewa nini nakaa nayo mbali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo komaa na tecno. Zinatumza sana chaji lakin zipo slow kuprocess
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo komaa na tecno. Zinatumza sana chaji lakin zipo slow kuprocess
ahahahah simu zenye uwezo wa kutunza chaj zipo nyingi sio tekno tu
 
Kitu kinachokuja kusumbua kwenye simu za android ni kuslow down jinsi unavozidi kuitumia. Sijui hua zinakumbwa na nini but moja ya sababu inayonifanya nibaki apple ni hio.
 
Kitu kinachokuja kusumbua kwenye simu za android ni kuslow down jinsi unavozidi kuitumia. Sijui hua zinakumbwa na nini but moja ya sababu inayonifanya nibaki apple ni hio.
Hapa unazungumzia Tecno.
 
Huawei ametoa smartphone yake yenye storage ya 1tb, double camera huawei p20 pro Samsung anajaribu kuiga tu, na yeye ndie aliyeongoza kimauzo kwa Simu yake iyo, yenye storage kubwa na kamera yenye ubora wa juu mpaka kutunikiwa cheti cha mauzo nyuma ya Samsung na iPhone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom