Samsung wamezindua note 9 jana

Samsung wamezindua note 9 jana

iphone se 2

Member
Joined
May 25, 2018
Posts
72
Reaction score
60
sumsung wamezingua simu yao ya sumsung galaxy note 9 huku ikiwa na tofauti ndogo sana na note 8 tofauti inakuja kwenye s pen na vitu vidogovidogo tu huku ikitoka na version ya 8.1 prosesa ya snapdragon 845 je wataweza kushindana na makampuni mengine kama simu za iphone , google pixel ambazo ziko karibu kutoka ?
 
This is note9
samsung-galaxy-note-9-blue.jpg
 
Conpetition ya Simu ni zaman enzi za kina Nokia na Motorola

Hawa wasahivi wanaigiza tu
 
battery life nasubiri reviews za wadau na sio kunambia sijui mah ngapi huko simu inayonipasua kichwa kwenye chaji hata iwe imewekewa nini nakaa nayo mbali.
 
Conpetition ya Simu ni zaman enzi za kina Nokia na Motorola

Hawa wasahivi wanaigiza tu
sumsung watafanya mabadiliko makubwa kuanzia mwaka kesho ila kwa saizi bado sana maana saizi wamefanya mambo kama haya tu
1.wameongeza ukubwa wa betri kutoka 3300mah hadi 4000mah
2.s pen kuwa na sensa
3.ubora wa kamera
4.ukubwa wa saizi ya simu
 
snapdragon sio prosesa, ni chipset, muunganiko wa cpu ( mf: cortex )+ram+rom( huifadhi boot up logo, nk )+cache+I/O interface na controlla zao kwenye chip moja
Samhani Mkuu nnaomba kujua Zaidi maana hata mimi niliewa kwamba Snapdragon ni "prosesa" ila leo umenipatia msamiati mpya,"prosesa" ni kitu gani?
 
Samhani Mkuu nnaomba kujua Zaidi maana hata mimi niliewa kwamba Snapdragon ni "prosesa" ila leo umenipatia msamiati mpya,"prosesa" ni kitu gani?
'processor', au cpu, central processing unit, inatekeleza amri zote kwenye simu,kompyuta , kama kutuma sms,kuwasha/kuzima bluetooth,data ipi iifadhiwe wapi,kuwasha simu, kuzima simu, na nyingine nyingi mno
 
Back
Top Bottom