Samsung ina relate mafeatures meengi alaf hayapo 100% compactible..kama jamaa alivyosema juu..inakuja na finger print ila inababaisha tu..bora LG i enjoyed it.
I phone wakiintroduce feature jua hio feature utaitumia na itafanya kazi kwa uhakika wa asilimia 100..
Hata mimi natumia iPhone 6 naomba unisaidie kitu. Nikitaka kuprint document kwenye iphone yangu nikichomeka USB wire kwenye computer naona tu picha documents sizioni nifanyeje?
Sasa kwanini ife wakati wa replacement,na wakati ni swala la kawaida matengenezo??
Atleast hawaibii watu kwa pesa nyingi.
Kwani feature za iphone wewe unazitumia zote???kama ilivyokusudiwa??ni lini mara ya mwisho ulitumia fingeprint kwa manunuzi zaidi ya appstore???
Mimi niko na samsung s5, s7 edge miaka miwli na sijaona tatizo hata moja kati ya aliyoyaorodhesha jamaaMkuu acha uongo, hizo ni zile fake fake au zimefanyiwa screen replacement, mim niko n iphone 6 mwak wa pili sasa na hakuna hilo tatizo, pia simu yenyewe nilinunua used na mtoto kila siku anapambana nayo kuiangusha mpaka home button inacheza cheza lakini fingerprint bado iko poa kabia.
Finger print za Iphone zina id kwa device husika, changes za device hufanya id za fingerprint kutoaona , anyway nimesema kwa urahisi ili uelewe lakini there are so many parameters zinahusika
Unajua hauko serios.
Miaka mitano au kumi nyuma ina nini cha kifanya na betri iliyotoka kiwandani mwaka jana???au unadhani iphone 5s zimecha kutengenezwa??
Mkuu mkorinto , huko juu nilitoa ushauri kidogo juu ya kujisomea kabla ya ku post ili ku minimize unnecessary posts.....
Unauliza kwamba 5s zimeachwa kutengenezwa? [emoji23].. are u serious ? Unajua maana ya ku discontinue device , yan uki google 5s website nyingi zimeweka specs na wakaongeza “discontinued”
Issue ya Pili unauliza eti miaka Mitano au kumi ina cha kuifanya battery ? Uko serious na hili swali [emoji848]? ... ungesoma kidogo chemistry ya battery ungepata ka uelewa kidogo. Hapa nimeweka attachment from apple website labda hii itakupa mwanga kidogo kuhusu battery na efficiency zake. View attachment 866849
Utafananisha super amoled na ips?Mkuu umeongea Ukweli.. Hujagusia na Display zao zinazoharibika Ghafla!
Nahamia Apple!
Nimekuelewa vizuri sana.
Naomba unipe mazingira ya kuhamisha fingerprint.inakuwaje mpaka uihamishe.
Mimi niko na samsung s5, s7 edge miaka miwli na sijaona tatizo hata moja kati ya aliyoyaorodhesha jamaa
Binafsi site yangu niliyotumia ni gsm arena,status ni available,kama ni dico huandika discontinued.
Hivyo riwaya zako zote hapo juu zinapoteza mashiko mpaka uthibitishe ni kweli haizalishwi tena.
Bro ichunguze iphone vizuri kwasababu in matatiso mengi tuSamsung ina relate mafeatures meengi alaf hayapo 100% compactible..kama jamaa alivyosema juu..inakuja na finger print ila inababaisha tu..bora LG i enjoyed it.
I phone wakiintroduce feature jua hio feature utaitumia na itafanya kazi kwa uhakika wa asilimia 100..
Basi kwa kukusaidia Visit web ya apple ambayo ni official , angalia store zao zote dunia nzima utaelewa model zipi ziko kwenye production .. usipoona pale jua imeshaondolewa zinauzwa tu stock iliyobaki kwenye masoko
Note :Gsm arena wameandika kama inavyoonekana chini hapa kwamba we can not guarantee .....View attachment 866979
So point yako ni kuwa anayetumia iphone 5s haendi na wakati???
Kwa lugha rahisi ndo hivyo mkuu
5s Ni technology ya mwaka 2013 , kila mwaka kuna upgrade ya miaka kadhaa hapo na vitu vingi vimeongezeka. Mtu wa 5s akiingia AppStore kuna app zinakataa kabisa zinaandika can not run on this device, mfano mzuri ni app za AR ,
Instagram ya kwenye 5s ni tofauti na 6s , moja imekuwa optimized for 3D Touch nyingine haina, app purchase ya 5s inauliza authorizations kwa Touch ID wakati iPhone X itamuuliza Face ID.
Nafikiri Uko sahihi kusema 5s ni outdated