christhekatt Member Joined May 13, 2013 Posts 40 Reaction score 30 Jun 10, 2016 #21 Justine_Dannie said: Nijuavyo mimi Samsung ni miongoni mwanangu kampuni kubwa sana kiasi kwamba kulinganisha na Huawei ni matusi ya nguoni. Click to expand... hivi unaijua kampuni ya huawei vizuri? Sio tecno hiyo, yaani hao sumsang wanasubiri sana kwa huawei. Kilichowasaidia samsung waliwahi kuingia sokoni.
Justine_Dannie said: Nijuavyo mimi Samsung ni miongoni mwanangu kampuni kubwa sana kiasi kwamba kulinganisha na Huawei ni matusi ya nguoni. Click to expand... hivi unaijua kampuni ya huawei vizuri? Sio tecno hiyo, yaani hao sumsang wanasubiri sana kwa huawei. Kilichowasaidia samsung waliwahi kuingia sokoni.
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,178 Jun 10, 2016 #22 Tundu Lisu vs Tulia Atkson
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,062 Reaction score 993 Jun 10, 2016 #23 Hii table itakuelewalesha Kwenye Android Samsung ndio #1 anaefuata ndio Huawei. Lakini kidunia kwenye maswala ya smartphone Huawei ni wa tatu. Ukichukua Flagship zao Galaxy S7 vs Huawei P9 kwa mauzo+innovation Samsung pia anashinda.
Hii table itakuelewalesha Kwenye Android Samsung ndio #1 anaefuata ndio Huawei. Lakini kidunia kwenye maswala ya smartphone Huawei ni wa tatu. Ukichukua Flagship zao Galaxy S7 vs Huawei P9 kwa mauzo+innovation Samsung pia anashinda.
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 4,475 Reaction score 11,475 Jun 12, 2016 #24 utakuja said: Hii table itakuelewalesha Kwenye Android Samsung ndio #1 anaefuata ndio Huawei. Lakini kidunia kwenye maswala ya smartphone Huawei ni wa tatu. Ukichukua Flagship zao Galaxy S7 vs Huawei P9 kwa mauzo+innovation Samsung pia anashinda. Click to expand... Samsung wana good display and camera ila huawei wana good speed na good battery from uzoefu wa kuwatumia
utakuja said: Hii table itakuelewalesha Kwenye Android Samsung ndio #1 anaefuata ndio Huawei. Lakini kidunia kwenye maswala ya smartphone Huawei ni wa tatu. Ukichukua Flagship zao Galaxy S7 vs Huawei P9 kwa mauzo+innovation Samsung pia anashinda. Click to expand... Samsung wana good display and camera ila huawei wana good speed na good battery from uzoefu wa kuwatumia