ni dvb-t, utapata izi fta za terrestrial free
Mkurugenzi nataman sana ila uwezo wangu ndipo ulipoishia kiroho safi niachie na mimi nimalizie
Kwa 200k unaua bossMkurugenzi nataman sana ila uwezo wangu ndipo ulipoishia kiroho safi niachie na mimi nimalizie
Sent using Jamii Forums mobile app
Dukani ni sh ngapi mkuu?
Ukumbusho tu
Jamaa kasema kila kitu kipo so i think mpaka lisiti itakuwepoUkumbusho tu
Flat tv zinaibiwa sana hivyo yatupasa kuwa makini tunaponunua kwa watu hasa ambao hawana ofisi maalum hakikisha unapewa documents zote ikiwemo na risiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nimekumbusha tu maana hapo unaweza ukakuta unapewa box remote na power cable sasa mkuu kesi za wizi wa tv hasa flat ni nyingi sana umakini unatakiwa kuwepo unapoamua kununua hizi used
Hii aina shida maana si mali ya wizi ipo full box ata risit ukiitaj ipo piaUkumbusho tu
Flat tv zinaibiwa sana hivyo yatupasa kuwa makini tunaponunua kwa watu hasa ambao hawana ofisi maalum hakikisha unapewa documents zote ikiwemo na risiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu kwa ukumbusho maana vitu kama lisit tunajisahau sanaMi nimekumbusha tu maana hapo unaweza ukakuta unapewa box remote na power cable sasa mkuu kesi za wizi wa tv hasa flat ni nyingi sana umakini unatakiwa kuwepo unapoamua kununua hizi used
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu ukitaka kuset uone hizi channel za kibongo unafanyaje kwa tv za namna hiyo?ni dvb-t, utapata izi fta za terrestrial free