Samsung trend tg-s7568i

WIMICKY

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
1,439
Reaction score
1,575
Habari wakuu/ msaada kwa anae fahamu upatikanaji wa firmware za simu za kichina hususani hii samsung trend tg-s7568i​
 
teh teh teh teh.....ingia kwenye forums za kichina afu utafute kaka!!
 
teh teh teh teh.....ingia kwenye forums za kichina afu utafute kaka!!
daaa nimejaribu kaka toka juzi naingia lakini sasa inanichukuwa muda mrefu kufanya kazi ya kutafuta tafsiri kuliko kitu ninacho kitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…