Samsung tablet charging problem

Northern Lights

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
412
Reaction score
372
Poleni na majukumu wakuu
Nina tablet yangu charger yake iliharibika nikanunua nyingine na kuendelea km kawaida , lakini sasa baada ya kuitumia kwa muda mrefu(2 months) saiv inachaji kwa muda mrefu sana hadi kujaa (at least 10 hours). Msaada tafadhali kwa mwenye ujuzi. Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…