Samsung Soundbar T650

Buhamila

Senior Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
160
Reaction score
82
Naomba msaada kwa mwenye kuijua vizuri sound bar tajwa hapo juu ubora wake na madhaifu yake
Ahsanteni
 
Sijui kuhusu hii soundbar ya T650 lakini Samsung soundbar zao nazikubali sana.


Lunatic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…