Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Hebu tugisie kidogo kuhusu hizo dongle n amazon fire sijuismart tv ni kama simu vile, inakuwa na apps na feature za kisasa kama browser ya kuingilia internet, youtube, kuplay source mbili kwa pamoja, media player za kisasa etc.
unapokuwa na tv ya kawaida kuna baadhi ya video zinaweza zisicheze kutokana na kumiss hardware lakini ukiwa na software smart utaweza kuzicheza.
ila kwangu mimi smart tv zipo overpriced unaweza kuta tv ya laki 6 ikiwa smart ikauzwa 1.5m hivyo naona hazina maana.
kama unataka smart tv tumia flat yako ya kawaida halafu nunua hdmi dongle au tv box yoyote tv ya kawaida itakuwa smart.
mfano google chromecast, amazon fire tv, intel nuc nk
mkuu hizi vifaa zinapatikana kwa bei gani kwa hapa kwetu?smart tv ni kama simu vile, inakuwa na apps na feature za kisasa kama browser ya kuingilia internet, youtube, kuplay source mbili kwa pamoja, media player za kisasa etc.
unapokuwa na tv ya kawaida kuna baadhi ya video zinaweza zisicheze kutokana na kumiss hardware lakini ukiwa na software smart utaweza kuzicheza.
ila kwangu mimi smart tv zipo overpriced unaweza kuta tv ya laki 6 ikiwa smart ikauzwa 1.5m hivyo naona hazina maana.
kama unataka smart tv tumia flat yako ya kawaida halafu nunua hdmi dongle au tv box yoyote tv ya kawaida itakuwa smart.
mfano google chromecast, amazon fire tv, intel nuc nk
kama 100,000 hadi 200,000 hivi inategemea na muuzaji na specs za kifaa husikamkuu hizi vifaa zinapatikana kwa bei gani kwa hapa kwetu?
asante kwa taarifakama 100,000 hadi 200,000 hivi inategemea na muuzaji na specs za kifaa husika
inatumia operating system gani?Kuliko kununua hizo vifaa vyote vya dongle njoo nikuuzie tv Samsung tv smart inch 32 mpya yenye warranty kwa 650000 tuu.
Smart hubinatumia operating system gani?
smart tv ni kama simu vile, inakuwa na apps na feature za kisasa kama browser ya kuingilia internet, youtube, kuplay source mbili kwa pamoja, media player za kisasa etc.
unapokuwa na tv ya kawaida kuna baadhi ya video zinaweza zisicheze kutokana na kumiss hardware lakini ukiwa na software smart utaweza kuzicheza.
ila kwangu mimi smart tv zipo overpriced unaweza kuta tv ya laki 6 ikiwa smart ikauzwa 1.5m hivyo naona hazina maana.
kama unataka smart tv tumia flat yako ya kawaida halafu nunua hdmi dongle au tv box yoyote tv ya kawaida itakuwa smart.
mfano google chromecast, amazon fire tv, intel nuc nk
matatizo yote uliyoyataja ni ya gpu. kitu muhimu zaidi kwenye box ni gpu inabidi iweze ku encode na kudecode unavyotaka. mfano box la kisasa linatakiwa liwe na uwezo wa ku encode na kudecode HEVC(x265) zote 8bit na 10bit, vp9, vp8, x264 etc na ikiwezekana iwe kwa 4k 60fps.Mkuu smart tv utendaji wake ni perfect tofauti na hizi tv box mfano mimi nna tv moja ni lg smart ukiitumia ku stream iko vizuri processing speed iko poa lkn nilichukua tv box moja ya kisasa ni v5.1.1 quad core lkn nimeona tofauti kubwa mara ukistream inaganda Bluetooth haifanyi kazi miracast imegoma kodi addon zinagoma ku install yaani tabu tupu ila smart tv yenyewe kila kitu kiko poa
Duu huzi huu mzuri kwa sisi ma mbumbumbu wa technology ya kisasa.
Kweli mkuu, Huzihuzi kweli mkuu