THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,066
- 4,769
And I have to agree with youYani ungekua umeniambia mm ningetoa machozi. Iyo (Ukome kabisa) ni balaa
Kweli mimi ni mkali sana na mtu wa kukasirika haraka japo hii hali siipendi kabisa nlikuwa kila mara namuomba Mungu hii tabia initoke
Alhamdullilah kwa sasa nimepunguza sana najitahidi kuwa mtu wa matani na masihara ili hii tabia iishe.
Na nikikasirishwa huwa na smile moja hiyo inayonisaidia kupunguza hasira na kuachana nalo.
