SAMSUNG S6 EDGE PLUS

SAMSUNG S6 EDGE PLUS

Adjutis Junior

Senior Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
118
Reaction score
23
SAMSUNG S6 EDGE PLUS ......
Ram 4GB
Internal Memory 32GB
Displacy Inch 5.7
Used for 4weeks
Its Gold
4G support

Haina tatizo lolote
Ni mpya kabisaaaaaa
600k-500k
maxresdefault.jpeg
 
Alafu hii tabia ya kuuza kitu used na kutuwekea picha za ku download ikome kabisa.

Weka picha yake halisi ya hiyo simu yako unayouza.
 
Mzee nikikaripiwa Huwa nakua na mawazo sana
Duu tunatofautina sana

Mimi ukinikaripia aisee siwezi kukuacha mwanzoni ntajidai kama boya nakusubiri u gain momentum ukianza kuzidisha nakuwashia moto hutoamini.

Hapo sitaangalia wewe ni nani.
Toka nyumbani, shuleni hadi ofisini wanajua hii.

Mimi huwa sipendi kuonewa ama kuona mtu anaonewa.

Japo sio mtu wa magomvi kabisa na huwa napenda sana kufata sheria,siku ukikwaruzana na mimi sijui utakuwa unatafuta nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom