Nimejaribu kufanya hivo imegoma, nikiweka wcdma only inapoteza paka network ya simu ya kawaida.nenda setting, wireless and network kisha click more chagua mobile network halafu network mode eka wcdma only.
kuhusu password badili keyboard pengine input zake ni charachter za kichina, nenda playstore search swift keyboard fata maelekezo install iwe default
itakuwa ina lock mkuuNimeangalia kwenye cpu-z ni gt i9300 mkuu.
4g ni hardware mpaka simu yako iwe nayo.Je na kama inashika tu 3G haishiki 4G au H+ procedures ni hizo hizo hapo juu?