Product za kampuni ya Apple ni nzuri sana kuliko za kampuni zingine.
Simu za iPhone zina ubora mkubwa ikiwemo sauti, hata laptop zao (MacBook) zina ubora kuliko brand zingine bila kusahau ear phone zao.
Mimi nilikuwa mtumiaji wa iPhone, mwaka 2021 nikahamia kwenye Samsung series za Note ila nitarudi kwenye iPhone sababu ya kuanza kutumia charging system ya C Type.