Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,145
- 51,818
iPhone beberu sana, vikwazo vingi mara iOS hatusupport baada ya mufa flan, mara type C yao, they put money first, unakuwa mtumwa wa chombo chako,Mtazamo binafsi, chukua samsung s22 ukishdwa kabisa kamata Motorola Latest Version, kama unatk unique kabisa kamata Fujistu F2(n) Series Arrows mjapan org.. sema lazima uagize nje ya nchi
UmemalizaKama unataka kifaa bora cha kutumia chukua Samsung, kama unataka kuonekana umo chukua iPhone
Sio kweliKama unataka kifaa bora cha kutumia chukua Samsung, kama unataka kuonekana umo chukua iPhone
Umemaliza
iPhone inabebwa na jina lake. Lakini kwa ubora wa simu kuanzia qualiy ya kioo, ubora wa picha na ubora wa kifaa chenyewe kwenye vitu kama kuharibia, Samsung wapo vizuri mbali sana zaidi ya iPhone. Nenda hata kwa mafundi uone iPhone zinavyo haribika kipumbavuSio kweli
PerformanceiPhone inabebwa na jina lake. Lakini kwa ubora wa simu kuanzia qualiy ya kioo, ubora wa picha na ubora wa kifaa chenyewe kwenye vitu kama kuharibia, Samsung wapo vizuri mbali sana zaidi ya iPhone. Nenda hata kwa mafundi uone iPhone zinavyo haribika kipumbavu
Sisemi kwamba iPhone ipo vibaya kwenye hivyo vipengele ila nasema kua Samsung ni better.Performance
Display
Software
Battery
Durability
Resale value
Camera (Photo and video quality)
Design
Speakers
Katika hivyo vipengele nitajie wapi iPhone haipo vizuri.
Hizo iPhone unazoziona kwa mafundi kuwa zimeharibika ni kwa sababu Wabongo wengi wananunua used na refurbished
Sawa lakini mleta mada alikuwa anaulizia iPhone 14 Pro Max na Samsung Galaxy S22 Ultra ipi ni nzuri?Sisemi kwamba iPhone ipo vibaya kwenye hivyo vipengele ila nasema kua Samsung ni better.
Nachokiongelea kwa mafundi ni kua uharibikaji wa iPhone ni wa ajabu sana. iPhone inaweza kuanguka ikapata clack moja tu na touch yote ikawa inasumbua, kitu ambacho ni nadra sana kwa Samsung. Na sio kwamba hakuna Samsung refub, zipo ila bado zinakua na ubora maradufu zaidi ya refub za iPhone
Yah hapa tumeelewanaSawa lakini mleta mada alikuwa anaulizia iPhone 14 Pro Max na Samsung Galaxy S22 Ultra ipi ni nzuri?
Jibu bila kuzunguka ni iPhone 14 Pro Max, Sio tu kwa kuvimbia kitaa bali in general iPhone hapo ipo vizuri zaidi.
Kuhusu suala la refurbished hata Samsung za ovyo zipo. Pia iPhone 14 Pro Max Sio kama hizo iPhone 7 za Wabongo zinazoharibika kila siku, hii ni next level.
Kiufupi kama angeulizia Samsung Galaxy S23 Ultra vs iPhone 14 Pro Max then hapo Samsung ndio ingekuwa chaguo bora
Juzi iphone wametoa ios mpy 16.4 chaajabu na cha kushangaza vitu vipya walivyoweka vinapatikana kwenye android kit kat uko ambayo ilitoka miaka zaid ya 5 nyuma...
.
So far ubora wa iphone unabebwa na jin lake na kuwa ni bidhaa ya mmarekani ila kiukwel iphone ni simu ya kawaida hakun kitu ambacho kipo kweny iphone hakipo kweny samsung
Mkuu, Apple kiujumla wake wanaendesha kampuni yao kwa kuangalia faida zaidi kuliko kumsaidia mteja, mfano App Store yao ukiwea application unalipia kila mwaka, wakati Play Store, ya Alphabet unalipia one time fee.... Apps nyingi za Apple ni kununua hata vitu basic ambavyo mtu inabidi upate free, Microsoft , Google wapo kusaidia jamii zaidi kwani open source wana-support sana, Apple wanatk kuwa kama Luis Vuitton for rich consumers, Kila kitu kina uzuri na ubaya wake
Umezungumzia branding but still hujaingia deep kwenye technical means. Google pia wanazo paid apps, microsoft anazo paid apps. Ni suala la choice
What makes ferrari different from other cars?
Iphone imekuwa built around privacy sio flexibility. Why its different, but sasa hilo ni chaguo la user mwenyewe anataka flexibility or privacy
iPhone inabebwa na jina lake. Lakini kwa ubora wa simu kuanzia qualiy ya kioo, ubora wa picha na ubora wa kifaa chenyewe kwenye vitu kama kuharibia, Samsung wapo vizuri mbali sana zaidi ya iPhone. Nenda hata kwa mafundi uone iPhone zinavyo haribika kipumbavu
Performance
Display
Software
Battery
Durability
Resale value
Camera (Photo and video quality)
Design
Speakers
Katika hivyo vipengele nitajie wapi iPhone haipo vizuri.
Hizo iPhone unazoziona kwa mafundi kuwa zimeharibika ni kwa sababu Wabongo wengi wananunua used na refurbished
Unaongelea software support? Unapaswa kuipongeza Apple kwa kutoa long software support kuliko makampuni mengine ya simu. iOS inakuwa supported kwa miaka 6 hadi 8 na wakisitisha support unalalamika.iPhone beberu sana, vikwazo vingi mara iOS hatusupport baada ya mufa flan, mara type C yao, they put money first, unakuwa mtumwa wa chombo chako,Mtazamo binafsi, chukua samsung s22 ukishdwa kabisa kamata Motorola Latest Version, kama unatk unique kabisa kamata Fujistu F51, F51a, F50 F(n) Series Arrows mjapan org.. sema lazima uagize nje ya nchi
Tatizo Bongo watu tunapenda sana kukaririWana assume zile wanazoziona kwa mafundi ndio how all iphone ziko hivyo. They are very very wrong
Lakini pia iphone updates zake zinakuja kwa wakati kabisa sio Sawa na androids inachukua muda mrefu mno
Hujui hata kuandika iPhone sasa huo si ndio upumbavu wenyeweAcha kulinganisha iphone na upumbavu
Yeah .. ni rahisi kwa Apple kupokea updates kwa haraka zaidiKwani update moja mpaka nyingine zinachukua muda gani??
Maama kinachosumbua ni model ya android uliyonayo,inawezatoka android 13 leo ukasubiri sana mpaka kuipata ktk xiaomi yako sababu android kuna simu nyingi,lakini apple siku ya tanamgazo ni iphone zote zitapata siku hiyo.