Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 734
- 2,272
Hawa jamaa badala ya kurahisisha maisha wanafanya kuwa magumu sanaToa hiyo line yako weka kwenye smartphone nyingine kisha wezesha wireless, watu wa iphone washazoea kadhia hiyo.
Niuzie Mimi hiyo simu chiefNimekuwa mtumiaji wa samsung kwa muda mrefu lakini miaka miwili iliyopita niliiweka pembeni simu yangu ya zamani Samsung s20+5g sikuitumia kabisa baada ya kujiunga kwenye simu za ulimwengu mwingine ambazo ni powerful lakini hazina majina
Leo nimeiwasha samsung s20+5g inanihitaji nifanye software update kwa kutumia wi-fi tu
Nimejaribu kila aina ya setting kwenye mobile data na kuzima wi-fi lakini simu inakataa,Inataka software update kwa wi-fi tu
Msaada mwenye uzoefu jinsi ya ku update kwa mobile data anipe uzoefu kwa hii samsung s20+5g
Je ?Lazima nitumie wi-fi wakati nina mobile data
Mwenye
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2615780
Hovyo unafananisha ni simu gani nje ya samsungS20+ toleo la ovyo mno kuwahi kutolewa na samsung .niliinunua nikakaa nayo wiki2 nikauza bei ya maandazi.pitia coment zake gsm arena uone mapungufu yake
Kumbe Kuna Jamaa Yangu Kainunua S20 Toka China Bado Haijafika Bongo Itabidi Ajiandae Kupitia HayoS20+ toleo la ovyo mno kuwahi kutolewa na samsung .niliinunua nikakaa nayo wiki2 nikauza bei ya maandazi.pitia coment zake gsm arena uone mapungufu yake
Vp S10eHovyo unafananisha ni simu gani nje ya samsung
Ajiandae kisaikolojia mapemaKumbe Kuna Jamaa Yangu Kainunua S20 Toka China Bado Haijafika Bongo Itabidi Ajiandae Kupitia Hayo
Ajipange Chap Kabla Hajapangwa Na S20Ajiandae kisaikolojia mapema
Apple walisharekebushaga hiyo unaweza ku-update bila ya wifi kupitia mobile data.Toa hiyo line yako weka kwenye smartphone nyingine kisha wezesha wireless, watu wa iphone washazoea kadhia hiyo.
Basi simu zote za Dar es Salaam kwa agents ni refurb pale Mlimani city?Issue hapo simu yako ni Refurb hizi za mitandao ya simu marekani, korea etc
Unlocked phone zinakua na option ya ku update hata kwa mobile data
Sifahamu mkuu, jaribu kudownload cpu Z ucheki soc yake kama ni Exynos ama Snapdragon.Basi simu zote za Dar es Salaam kwa agents ni refurb pale Mlimani city?
Maana hata 3mm headphone jack hakuna kwenye hizi refurb za agents wa mlimani city
Inakuwaje wanatoa warrant ya muda mrefu sana na warrant inajumuisha kioo
Nimewahi tumia samsung s10 plus kwa miezi saba nilinunua mlimani city nikapasua kioo kwa bahati mbaya wakanibadilishia ,
Simu zangu huwa siweki protector na waliniambia hivyo kuwa nisiweke madoido ili kukiwa na tatizo la kioo wanibadilishie
Hizi simu kumbe hazitimiii 64Gb storage exactly wanatupiga.Sifahamu mkuu, jaribu kudownload cpu Z ucheki soc yake kama ni Exynos ama Snapdragon.
64GB ni storage inabidi kuwekwe OS, apps zinazokuja na simu, Recovery na mambo mengine hapo gb 10 ama 20 lazima zikate.Hizi simu kumbe hazitimiii 64Gb storage exactly wanatupiga.
Ahaa hapo sawa sema os zinalula sana storage imagine 10Gb just for hiyo kitu64GB ni storage inabidi kuwekwe OS, apps zinazokuja na simu, Recovery na mambo mengine hapo gb 10 ama 20 lazima zikate.
Amdroid yenyewe hata 1GB haifiki vitu vingi wanakujazia juu yake tu vinakuja na android kama Apps za google, Apps za Samsung, za Microsoft na bloatware nyengine.Ahaa hapo sawa sema os zinalula sana storage imagine 10Gb just for hiyo kitu
Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app