Matukutuku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 269
- 127
Daah yaan hapa ndio sijajua umawekaje hii.Isije kuwa umeweka low data mode na inaji activate hiyo mida. Cheki your data settings.
Unatumia mtandao gani? Ume Jaribu kubadili mtandao? Mnara unasoma 4g? Kwenye Apn umehakiki una setting za internet na sio wap ama web?Wadau kuna kitu nakihisi kama kipo kwenye simu za Samsung S series.
Kila ikifika muda fulani kuanzia jioni mara nyingi nashindwa kufungua videos kwa whatsapp au haga instagram au twitter au hata kuangalia status za videos kwa whatsapl au instagram inastuck stuck.
Nilikuwa natumia S9 baaday nikahamia S20 lakin naona mambo ni yale yale.
Kwanye simu zingine sa Samsung (yaani A series na J series mambo fresh kabisa hakuna hiyo tabu)
Je, shida inaeza kuwa ni nini jamani naombeni msaada manake inakera sana sanaa pale unapotaka kuangalia videos halafu inastuck stuck.
Aisee natumia Vodacom, mnara unasoma 4G na kwenye APN settings ni za Internet.Unatumia mtandao gani? Ume Jaribu kubadili mtandao? Mnara unasoma 4g? Kwenye Apn umehakiki una setting za internet na sio wap ama web?
Jaribu pia huo muda ikisumbua kuingia fast.com uone kama utapata speed nzuri.Aisee natumia Vodacom, mnara unasoma 4G na kwenye APN settings ni za Internet.
Labda nibadili mtandao niangalie
Zinaharibika bila kuharibiwa?Bora S sasa ,hizo A series Ni noma Zinaharibika Kizembe
Sometimes YES,,,Yangu hapo juzi ilizima screen ghafla tu ila ukipigiwa inaita kama kawaida lakn huwezi kuipokeaZinaharibika bila kuharibiwa?
Ivi ni series gani bora kuliko nyingine kwenye hizi SamsungBora S sasa ,hizo A series Ni noma Zinaharibika Kizembe
AJM ninlow and mid range. S na Note ni high endIvi ni series gani bora kuliko nyingine kwenye hizi Samsung
A
J
M
S na
Note
Ipi ni bora kwa bajeti ya 800kAJM ninlow and mid range. S na Note ni high end