Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,523 Reaction score 14,002 Jan 28, 2017 #1 Heshima kwenu wote. Jamaa yangu anahitaji simu tajwa hapo juu,anapendelea ziwe used lakini ziwe kwenye hali nzuri. Mwenye nayo/nazo awasiliane naye kwa namba 0718255028 Anahitaji Samsung note1 na Techno Y6. Asanteni.
Heshima kwenu wote. Jamaa yangu anahitaji simu tajwa hapo juu,anapendelea ziwe used lakini ziwe kwenye hali nzuri. Mwenye nayo/nazo awasiliane naye kwa namba 0718255028 Anahitaji Samsung note1 na Techno Y6. Asanteni.
Abdulkareem Shazeed Member Joined Jul 13, 2012 Posts 48 Reaction score 150 Jan 28, 2017 #3 Namba yangu ya whatsapp ni 0689554438
P pendeka Member Joined Dec 28, 2016 Posts 15 Reaction score 1 Jan 29, 2017 #4 Ninanyo Tecno W4 130000 aina tatizo lolote
jisanja JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 1,075 Reaction score 684 Jan 29, 2017 #5 Mm nna note 3
K kiwa khalid JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 636 Reaction score 534 Jan 29, 2017 #6 Unauza bei gani?
HAJI KUMBIKO Member Joined Dec 7, 2016 Posts 60 Reaction score 52 Jan 29, 2017 #7 Tecno y6 ninayo utatoa bei gani?
jisanja JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 1,075 Reaction score 684 Jan 29, 2017 #8 kiwa khalid said: Unauza bei gani? Click to expand... 320k
K kiwa khalid JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 636 Reaction score 534 Jan 29, 2017 #9 Chukua 250k