teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Jun 27, 2022 #1 Nina simu tajwa hapo juu ina tabia ya kujipunguza sauti kila siku, hivyo nalazimika kila siku asubuhi kuiongezea sauti na hii imekuwa ni kero sana, je tatizo litakuwa ni nini? Natanguliza shukrani
Nina simu tajwa hapo juu ina tabia ya kujipunguza sauti kila siku, hivyo nalazimika kila siku asubuhi kuiongezea sauti na hii imekuwa ni kero sana, je tatizo litakuwa ni nini? Natanguliza shukrani
teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 Jun 28, 2022 Thread starter #2 Bado nasubiri msaada