Samsung Note 4 kwa 500k Tu

Samsung Note 4 kwa 500k Tu

black chinese

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
1,148
Reaction score
1,229
Ndugu wana jf....nimeamua kuiweka sokoni samsung note 4 yangu kwa sababu nimekwama nauli ya Dodoma na muda ndio huo unayoyoma...
Atakayehiitaji anitafute kwa 0715 193 810.
Ipo katika hali nzuri, nahitaji 500k tu.
Kwa wale wasioijua wanitafute kwa picha na specs zake kupitia namba hiyo hapo juu..
Asalaam aleikuum.
 
Back
Top Bottom