Samsung note 10 plus

Samsung note 10 plus

Quintellaakn

Member
Joined
Sep 29, 2022
Posts
6
Reaction score
4
Nauza Samsung note 10+, haina shida yoyote. Bei Tshs. 300,000/= kwa mwenye uhitaji tafadhali anipigie kwa namba 0685063688.

Karibuni sana.
 
Attachments

  • SmartSelect_20250701_131325_Chrome.jpg
    SmartSelect_20250701_131325_Chrome.jpg
    52.6 KB · Views: 21
  • SmartSelect_20250701_131654_Chrome.jpg
    SmartSelect_20250701_131654_Chrome.jpg
    82.5 KB · Views: 20
Inaonekana we mtaalam sana.... GENUINE au DUBAI inamaana gani?
Sokoni kuna simu za aina mbili, original mpya ambayo imetoka kwenye viwanda vya Samsung/Apple na haijawahi kutumika sehemu yeyote,
Sasa kuna ambazo wanaita refurbished, used kutoka nje hizi zinauzwa sana hapo kariakoo na zinanunuliwa kwa wingi kuliko original maana bei ya original ni kubwa zaidi, lakini pia quality yake kuanzia processor, kioo, camera na performance kiujumla ipo chini japo ni ngumu kutofautisha kwa mtu asiyefahamu simu
 
Anhaa...kwa hivyo ulipaswa kuuliza ni Original ama copy...au New ama Used au refurbished..!
nb:- SIDHANI KAMA DUBAI WANATUMIA COPY, INGAWA REFURBISHED ZIKO KILA MAHALA HATA AMERICA/CHINA/KOREA...!
 
Kariakoo refub, copy, used from outside zote ni kama wamezieka kwenye category moja ndio tunaita dubai, maduka machache yanayouza genuine ndio watakuuzia kulingana na ulivyotaja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom