Samsung Not Registering on Network

Samsung Not Registering on Network

inzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
296
Reaction score
285
Anae jua junsi ya kutatua tatizo la samsung kutosoma mtandao yani uki search network ukitaka kuconnect inagoma na inakuambia not registering on network/unable to connect, ukiwasha data inasoma lakini sim na txt haziingii (huwezi kupokea/kupiga sim wala kutuma/kupokea txt) simu ni samsung galaxy s4
 
data account ndo mpango mzma vingnevyo utalala umechoka
 
Jamani na mimi yangu inasoma halotel tu. Sipokei wala sipigi ila unternet inafanya kazi. Ni samsumg a5
 
Kwa sisi tusiojua hiyo mbinu? (Writting new cert?)
Hii no technical issue,mafundi cmu ndio wanaweza ku solve kesi kma hizo,but ku changeb imei ya cmu ni illegal... ukifanya its for ur own risk,vile vile ku write certificate pia kma hujui unachofanya...utauwa na cmu yenyewe
 
Back
Top Bottom