project planner JF-Expert Member Joined Jul 8, 2019 Posts 1,170 Reaction score 1,560 Jan 30, 2021 #1 wakuu natumaini ni wazima naoma mwenye kujua wapi nitapata Samsung m51 maana naona madukani hazipo hizi simu na bei yake ikoje
wakuu natumaini ni wazima naoma mwenye kujua wapi nitapata Samsung m51 maana naona madukani hazipo hizi simu na bei yake ikoje
July Fourth JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 2,240 Reaction score 795 Jan 30, 2021 #2 project planner said: wakuu natumaini ni wazima naoma mwenye kujua wapi nitapata Samsung m51 maana naona madukani hazipo hizi simu na bei yake ikoje Click to expand... 950,000/-
project planner said: wakuu natumaini ni wazima naoma mwenye kujua wapi nitapata Samsung m51 maana naona madukani hazipo hizi simu na bei yake ikoje Click to expand... 950,000/-
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,062 Reaction score 43,478 Jan 30, 2021 #3 project planner said: wakuu natumaini ni wazima naoma mwenye kujua wapi nitapata Samsung m51 maana naona madukani hazipo hizi simu na bei yake ikoje Click to expand... Simu za India na masoko maalum ukizikuta Tz ujue mtu tu ame import. Bei yake ni Around 750K
project planner said: wakuu natumaini ni wazima naoma mwenye kujua wapi nitapata Samsung m51 maana naona madukani hazipo hizi simu na bei yake ikoje Click to expand... Simu za India na masoko maalum ukizikuta Tz ujue mtu tu ame import. Bei yake ni Around 750K
project planner JF-Expert Member Joined Jul 8, 2019 Posts 1,170 Reaction score 1,560 Jan 30, 2021 Thread starter #4 July Fourth said: 950,000/- Click to expand... Naweza nikaipata wapi mkuu
project planner JF-Expert Member Joined Jul 8, 2019 Posts 1,170 Reaction score 1,560 Jan 30, 2021 Thread starter #5 Hivi hawana high life niwaaminifu kwenye maswala ya hela kutuma na kupokea simu mikoani nataka kuwatumia ila sijawahi kuwatumia hela ili nitumiwe simu
Hivi hawana high life niwaaminifu kwenye maswala ya hela kutuma na kupokea simu mikoani nataka kuwatumia ila sijawahi kuwatumia hela ili nitumiwe simu
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,062 Reaction score 43,478 Jan 30, 2021 #6 project planner said: Hivi hawana high life niwaaminifu kwenye maswala ya hela kutuma na kupokea simu mikoani nataka kuwatumia ila sijawahi kuwatumia hela ili nitumiwe simu Click to expand... Ni waaminifu, huyo jamaa Ana physical address pale upanga, Sema bei Zake tu ujiandae kisaikolojia.
project planner said: Hivi hawana high life niwaaminifu kwenye maswala ya hela kutuma na kupokea simu mikoani nataka kuwatumia ila sijawahi kuwatumia hela ili nitumiwe simu Click to expand... Ni waaminifu, huyo jamaa Ana physical address pale upanga, Sema bei Zake tu ujiandae kisaikolojia.
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,828 Reaction score 21,932 Apr 14, 2022 #7 Hii simu uliipata? Kama ndio wapi? Kwa bei gani?