Samsung kuanza kupokea Android updates (Android 11) kuanzia December 2020

Samsung kuanza kupokea Android updates (Android 11) kuanzia December 2020

Samsung sasahv simu zao zote zinapata 2 android version updates na kwa flagships kuanzia s10/Note10 zinapata 3 years
hawa nao wakipewa mwakani watakuwa na miaka 3 maana ni simu za 2019
 
Pixel wana camera quality ya kibabe sana kupitia App ya Gcam
Ni hatari sana
1604429214.jpg
 
Unataka simu ipae ndo iwe flagship mjomba?
Pixel 4xl unaweza kuilinganisha ama ziko mizania sawa na note 20 ultra ama Huawei Mate 40 Pro ama Iphone 12 Max Pro kwenye specifications?

Kama jibu ndio basi sina la kusema kama jibu ni sio basi hiyo ndio maana yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom