Kama mnavyojua hii simu ambayo inatokana na Samsung J7 Series kipindi cha nyuma ikiwa na Android 6.0 hadi 7.0 ilikuwa ni rahisi kui-root kwa kutumia custom recovery kama TWRP lakini tokea updates zimekuja ama upgraded to android 9 pie, hii kitu imekuwa ngumu sana kui-root kwa sababu ya security patches za hiyo version. Ambapo kama ukiiwekea custom recovery wakati wa ku-boot inafanya verification check ikikuta kuna custom recovery hairuhusu simu kuendelea na process za kuboot.
Sasa swali ni je, kuna mtu aliyefanikiwa ku-root hiyo simu ikiwa na Android 9 Pie?
Na ni kwa procedures zipi alifanikiwa?
Kwenye network bar inaweka [emoji724][emoji724] badala ya [emoji687][emoji687] na ili niweze kuirepair hiyo mpaka niiwekee custom recovery.
Mkuu Chief-Mkwawa nashukuru nilidownload kernel mbili kupitia ile video tutorial link ila cha kushangaza kernel ya u9 nilipoiflashia kwenye simu, niliambulia bootloop, nikajaribu u8 ikawa stucked on Samsung logo, sikuishia hapo nikajaribu kung'ang'ana sana mpaka nikaamua kuerase Nand nikaflash stock rom upya kisha nikapiga kernel ya U8 kisha nikapiga TWRP ngoma ikaitika lakini nikijaribu kufactory reset ama kuwipe zile partitions ili niweke custom rom nikapata error ya failed to mount data invalid argument. Nikatafuta solution yake nikafix na sasa kitu kipo hewani.