Samsung J7 Neo model SM-J701F/DS

Samsung J7 Neo model SM-J701F/DS

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,147
Reaction score
16,999
Nimeona tigo wanaiuza Tshs 450000/=
Ila inaonekana ni ya kizamani sababu ina betri ya kutoa.

Vp ubora wake? Kuna mtu anaiuza kwa shs 300000/= na haina mwezi tangu amenunua.

Cc. Chifu mkwawa
 
Mwambie anitafutie kioo cha s7 edge ntampa petha avae
 
Nzuri sana mi ndo nnayoitumia...ipo fast haina tatizo lolote inakaa na charge sana.
Nakushauri uinunue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom