Lil dove
Senior Member
- May 9, 2017
- 155
- 196
Mambo vp Lil dove?! Junior hajambo?! Mwambie asiwe anaacha huo mgari wake nje, majitu ya roho mbaya yatamwibia!!
Halafu, hebu toa basi specs za hiyo J6+ manake kuna zile za 64 (4) GB na zingine 32 (3) GB. Kama yako ni ya 64(4) GB na accessories zake (especially charger + earphone) zipo, basi kuna 300K hapa + nauli yako maanake naatamia mayai kwahiyo siendi mbali kuzidi 50mM!! hapa! And guess what; zooooooote ni nyekundu nyekundua, mpyaaaaaaaaaaaaa!
Mwambie Junior uncle my+B anamsalimia!





