Samsung J5 (2016) mpya

Milale

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
494
189
Simu ni Samsung J5 new edition. GB16,ram 2gb, camera Mp13, network 3G,4G. Snapdragon.Imetumika wiki mbili tu haina tatz lolote niko dar bei ni 300k bei haipungui, karb PM kwa anayehit.
Angalizo bei haishuki hata kumi.
 
0727d3c0356824d01add6a78efce6ee3.jpg
dd4e92695123c4504228509f1c58cabc.jpg
77fe5722669ad38eee93c19dfbe471a3.jpg
 
Mkuu nikupe hii nikuongeze na mshiko kidogo uniachie yako Simu yangu ni Samsung J5. GB 8, ram 1.5gb, camera Mp13, network 3G haina 4G metumika miezi mitatu
Unaongeza ngapi mkuu?
 
Simu ni Samsung J5 new edition. GB16,ram 2gb, camera Mp13, network 3G,4G. Snapdragon.Imetumika wiki mbili tu haina tatz lolote niko dar bei ni 300k bei haipungui, karb PM kwa anayehit.
Angalizo bei haishuki hata kumi.
nicheki whatsap no (0755650836)au 0756805540 piga picha nitumie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom