Wakati naweka hilo tangazo sikuwa na access ya kuweka hizo picha. Na nimeshaziweka hizo habari za utapeli zimekujaje. Fatilia thread zangu nyingi humu nimeshauza vitu vingi Sana na wala hutaona malalamiko.
Linamo
Tatizo la Jf wengi mnajifanya wajuaji kumbe ni zero brain.
Linamo
Mngese kweli nimekulazimisha kununua? Mpuuzi mkubwa wewe ukiwa tapeli unahisi wote matapeli.
Linamo
Ungeandika hivi pale mwanzo. Usingesema Tapeli.Mimi siyo mgeni kwako wala wewe siyo mgeni kwangu, we know each other.
Kwa faida ya wageni wa jukwaa, siyo lazima kila member awe anakufahamu, unapoweka tangazo weka complete information regardless how credible you think you are.
It was just business, not personal please.
Ungeandika hivi pale mwanzo. Usingesema Tapeli.
Aiseee labda wewe ndo ugrow up. Unajibiwa unavyostahili ukija kijinga utajibiwa kijinga usitegemee nitapaka siagi. Wajinga wengi lazima tuwapunguze.Kule kutoa information nusu na kuwaambia watu waje whatsapp, halafu kila aliyejaribu kushauri ukamjibu kwa kumtusi, kwa nini usifikiriwe tapeli?
Unawapeleka whatsapp kufanya nini wakati tangazo umeweka hapa?
Mara ngapi watu wamelalamikiwa humu kwa utapeli, wakati siku za mwanzo wamefanya vizuri? Kwa nini wewe usiwe?
Unajibu watu waseng.e, zero brain, wapuuzi etc kisa tu wamekushauri kuweka bei kwenye tangazo.
Grow up.
Aiseee labda wewe ndo ugrow up. Unajibiwa unavyostahili ukija kijinga utajibiwa kijinga usitegemee nitapaka siagi. Wajinga wengi lazima tuwapunguze.
Mfyuuuuu wali deserve nioneshe aliyeuliza kistaarabu nikamjibu ujinga. Halafu wenye uhitaji washainunua. Wamebaki wapiga kelele.Kuna ulio wajibu kijinga wakati wao hawakuongea ujinga, hapo ndo nilipojua kumbe I was paying respect to a dumb-ass.
Umeuza sh ngap?Mfyuuuuu wali deserve nioneshe aliyeuliza kistaarabu nikamjibu ujinga. Halafu wenye uhitaji washainunua. Wamebaki wapiga kelele.
Hiyo ndio bei yake ya mkononiLaki 2
Hiyo ndio bei yake ya mkononi
Wala sio swala la kubishana ila hiyo bei ndio inatembea kwa mkononi japo inaweza kupanda au kushuka inategemea na makubaliano yenu na sababu ya kuuza,Kuna kitu kinaitwa fair value, hakuna market price inayo determine bei ya simu iliyoko mkononi, so kinachotumika ni fair value.
Fair value is defined as a sale price agreed to by a willing buyer and seller, assuming both parties enter the transaction freely.
Wala sio swala la kubishana ila hiyo bei ndio inatembea kwa mkononi japo inaweza kupanda au kushuka inategemea na makubaliano yenu na sababu ya kuuza,
Mfano kama simu kimeo inaweza ikashuka zaidi kwakifupi inategemea
Mfano huyu dada kanunua laki3 na 30 sasa anashida ya hela kaona auze simu yakeSure, hiyo ndo point kubwa mkuu.
Mfano huyu dada kanunua laki3 na 30 sasa anashida ya hela kaona auze simu yake
Akiziua 150 anakuwa hawezi kumaliza shida yake na anakuwa hana simu
Wewe hujaja kutangaza biashara ya simu umekuja kutangaza hyo ya Avatar yako humpati mtu,la sivyo weka bei hapa,mimi sitakutukana maana am above that.Wewe tangaza tu hyo ya pili ndio maana unataka ufuatw wasap utume na picha zako!Mngese kweli nimekulazimisha kununua? Mpuuzi mkubwa wewe ukiwa tapeli unahisi wote matapeli.
Linamo
jibu la mwendokasi kiboko ya mabashite hahahahaaaUngeuzia hukohuko Whatsap kwenye magroup
Mpuuzi wa kiwango cha lami Kama umezoea kusuguliwa unajua wote ndo kazi yetu kawatafute wa kukutoboa mie si mnunuzi wa hizo bidhaa. ByeeeeWewe hujaja kutangaza biashara ya simu umekuja kutangaza hyo ya Avatar yako humpati mtu,la sivyo weka bei hapa,mimi sitakutukana maana am above that.Wewe tangaza tu hyo ya pili ndio maana unataka ufuatw wasap utume na picha zako!
Safi kabisa, eboh!Hiyo simu ni ya wizi ndio maana unaita watu wasapp uwatapeli?watu wa arusha ni wa ajabu ajabu sana,wezi na matapeli,unalazima ufuatwe wasapp ili iweje?ili uwaibie watu?alafu unajidai mkali,we huuzi simu kuna kitu kingine unauza kwa Avatar hyo,we tangaza biashara zote na bei zake hapahapa utapata wateja wa biashara zako zote mbili!