Samsung J2 Gold for sell

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
Imetumika miezi 3 iko kwenye hali nzuri. Napatikana Arusha.
Only serious buyer. 0686979746
 
Ndio maana sikukuita vilevile umekuja mwenyewe imekukera pita hivi
Hiyo simu ni ya wizi ndio maana unaita watu wasapp uwatapeli?watu wa arusha ni wa ajabu ajabu sana,wezi na matapeli,unalazima ufuatwe wasapp ili iweje?ili uwaibie watu?alafu unajidai mkali,we huuzi simu kuna kitu kingine unauza kwa Avatar hyo,we tangaza biashara zote na bei zake hapahapa utapata wateja wa biashara zako zote mbili!
 
Toa maelezo muhimu, unapatikanaje, mahali ulipo, simu ni ya wizi au umenunua na risiti unazo, wewe ni ke au ni me.
Nipo tabata ukitaka kweli tunaonana na unaiona simu yenyewe, sio ya wizi bwana simu ni mpya tu ya demu mmoja jirani yangu kuhusu lisiti sijamuuliza ila inaweza ikawepo ila sina uhakika.
Mm me na mwenye simu ni ke
Uliza swali lengine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…