mgombea uvccm2017 JF-Expert Member Joined Jan 11, 2016 Posts 505 Reaction score 376 Mar 11, 2016 #1 Samsung J1 origina inauzwa. Imetumika miezi miwili Inauzwa laki 2 maelewano yapo Ukija tunahakikisha kwanza tcra kama ni original ili isijekuwa zile za kufungiwa June kisha ndo unaichukua Pm or 0676733786
Samsung J1 origina inauzwa. Imetumika miezi miwili Inauzwa laki 2 maelewano yapo Ukija tunahakikisha kwanza tcra kama ni original ili isijekuwa zile za kufungiwa June kisha ndo unaichukua Pm or 0676733786
sezari alfred Member Joined Mar 6, 2016 Posts 59 Reaction score 10 Mar 11, 2016 #2 MPYA laki mbili yanini hiyo yako Fanya laki na nusu nikupe