Samsung Grand prime plus inanisumbua customization ya colour

blogspot

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,268
1,138
Habari wakuu,

Naomba msaada wa kitaalamu,

Simu yangu Samsung grand prime plus nili erase ila kwa sasa imeniletea colour ambayo nikifungua picha zinaonekana na hiyo colour.

Nawasilisha wakuu
 
Back
Top Bottom