blogspot JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,269 Reaction score 1,147 Jun 4, 2018 #1 Habari wakuu, Naomba msaada wa kitaalamu, Simu yangu Samsung grand prime plus nili erase ila kwa sasa imeniletea colour ambayo nikifungua picha zinaonekana na hiyo colour. Nawasilisha wakuu
Habari wakuu, Naomba msaada wa kitaalamu, Simu yangu Samsung grand prime plus nili erase ila kwa sasa imeniletea colour ambayo nikifungua picha zinaonekana na hiyo colour. Nawasilisha wakuu
GANG MO JF-Expert Member Joined Dec 6, 2016 Posts 2,116 Reaction score 2,248 Jun 4, 2018 #2 Hivi hiyo sim ina display ya super amoled? Sorry nauliza tu
blogspot JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,269 Reaction score 1,147 Jun 4, 2018 Thread starter #3 GANG MO said: Hivi hiyo sim ina display ya super amoled? Sorry nauliza tu Click to expand... Mkuu hata siifahamu ila nimepata suluhu niliset colour direction on
GANG MO said: Hivi hiyo sim ina display ya super amoled? Sorry nauliza tu Click to expand... Mkuu hata siifahamu ila nimepata suluhu niliset colour direction on