Samsung grand prime iko sokoni

Samsung grand prime iko sokoni

MJOMBA jr

Member
Joined
May 19, 2018
Posts
49
Reaction score
20
Ni simu nzuri ina miezi mitano tokea niinunue. Ina risiti na kila kitu chake mpaka box lake.
Bei laki mbili na 30 tu karibu sana 0655101826
Mzigo uko ndani ya dar!
levant-galaxy-grand-prime-g532f-sm-g532fzddmid-000000009-dynamic-gold.jpeg
20181006_161317.jpeg
tapatalk_1538909205566.jpeg
 
Hizo accesory na box ni mbwembwe tu. Weka picha halisi ya hiyo simu .

Na kapicha ka risiti basi
Hilo box na chaja na headphone ndio zake na zipo hazijawahi hata kutumiwa .ila simu hio nimeeka sample maana sina simu ya kuipigia picha hii samsung ninayouza maana ndio ninayoitumia hapa.
 
Mwenye kuhitaji simu ataamini nilichosema hapo juu ila kwa anaetaka mjadala wa malumbano ya hoja hata amini hadi kiama!
Msema ukweli ni mpenz wa mungu.
 
Wahitaji wa simu karibuni.
Wala usihofu simu iko 100% fine na risit yake nakupa .
 
Hilo box na chaja na headphone ndio zake na zipo hazijawahi hata kutumiwa .ila simu hio nimeeka sample maana sina simu ya kuipigia picha hii samsung ninayouza maana ndio ninayoitumia hapa.
Uza hiyo simu sasa ununue camera sisi tunataka picha ya simu halisi ebooh
 
Ni yangu naiuza kwa mapenzi yangu kama nilivyoinunua kwa mapenz yangu!
JE HIYO SIMU NI YAKO? KWA NININ UNAUZA?
NAULIZA HILO SWALI KWANI KUNA WATU WAMEOKOTA AU KUIBA VITU VIKIWA NA RISITI ZAKE, NA BAADA YA KUNUNUA UAINGIA KWENY MATATIZO MENGINE
 
Hiyo bei yako ni kubwa sana kwa used,ukiongeza 20,000 unapata simu mpya kabisa.
 
Back
Top Bottom