Amani iwe kwenu wana teknolojia
Katika kufanya utafiti wa ipi tablet nzuri inayoweza kunifaa kwa ajili ya matumizi yangu ya shule na matumizi binafsi ( kusoma PDF, kupiga picha, kurekodi video, ku-surf kwny internet pamoja na matumizi mengine) nimekutana na hii galaxy tab S 10.5 na nimevutiwa nayo sana. Kwa mtu mwenye experience nayo ningeomba atupatie na pia anayefahamu sehem zinapopatikana pamoja na bei zake itakuwa ni vyema zaidi. Ahsanteni