Wadau,
Naomba mwenye uelewa wa hii tablet anisaidie hapa.
Inbuilt memory ta simu ni GB 8 na imejaa nikanunua SD Card ili kuongeza memory but nashindwa kuiset SD card kama default memory kwa apps na hata photos za kawaida.
Please msaada kwa mwenye uelewa hapa.
Natanguliza Shukrani.