Wakuu nina kifaa hicho kipya kabisa kutoka Uholanzi, tatizo ni kuwa hakina sehemu ya line kwa ajili ya internet ila Wireless (Wi-Fi) pekee.
Nitawezaje ku-access internet muda wote hasa ukizingatia hali ya nchi yetu (Internet ni anasa)?Je! Iwapo hakuna alternative ya ku-access internet sehemu yoyote ,nikikiingiza sokoni bei halisi ni ngapi?