SAMSUNG GALAXY TAB 7.1 kuzimika mara kwa mara

SAMSUNG GALAXY TAB 7.1 kuzimika mara kwa mara

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,645
Wanabodi natanguliza salam.

Mimi nina tablet ya Samsung galaxy 7.1 tatizo hivi karibuni imeanza kuwa ina Stuck na kuzimika pasipo sababu ambazo ni Logical kama charge kuwa empty au vinginevyo. haijawahi kuaanguka wala kuwa any phyical problem. Inaweza kuzimika then ukiiacha kama siku moja kesho yake inawaka yaani sielewi tatizo ni lipi kati ya software au hardware. Any Ideas????
 
Mm pia nna galaxy s4.tatizo la cm yangu kuna muda nikiweka mode ya kamera ili nipige picha inazimika then inawaka.napata taabu kidogo.
 
mkuu,
nilikua na rafiki angu amenunua iyo tab pale kwa benson arusha..in a month ikaanza kifafa,good thing warrantly ilikuepo,,
akaenda wakambadilisha.....
 
Jaribu kubadilisha betri mi nilikuwa na s3 ilikuwa natabia hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom