Dr. Mafilimbi
Member
- Apr 29, 2015
- 9
- 0
Habari!
Nina samsung galaxy tab 10.1 inashindwa kusoma line ya simu na ukiangalia kwenye settings hakuna option ya mobile network. Nimejaribu kuireset lakin tatizo bado liko vilevile.. naomba msaada wenu wadau.. Asante