Ni galaxy tab 1 ya 7". Ina RAM ya 512, na processor ya 1 GHz.
battery life ni kama masaa masita mpaka tisa kulingana na utumiaji wa mtu.
inatumia sim card.
inakwenda kwa laki mbili na nusu 250,000.
inapatikana Dar es salaam.
kwa mazungumzo 0755815174.
ninajitahidi kuattach image.